Font Size
Marko 14:65-67
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:65-67
Neno: Bibilia Takatifu
65 Kisha baadhi ya watu wakaanza kumtemea mate; wakamfunga kitambaa usoni wakampiga na kumwambia, “Toa unabii, utuambie nani amekupiga!” Maaskari wakampokea kwa mapigo.
Petro Amkana Yesu
66 Petro alikuwa bado yuko barazani. Kisha akaja mtumishi mmoja wa kike wa kuhani mkuu. 67 Alipomwona Petro akiota moto, alimtazama sana, akamwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica