Font Size
Marko 14:65-67
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:65-67
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
65 Na wengine walianza kutema mate, na kufunika uso wake, na kumpiga, na kumwambia, “Uwe nabii na utuambie nani aliyekupiga.” Kisha wale walinzi walimchukua na kuendelea kumpiga.
Petro Amkana Yesu
(Mt 26:69-75; Lk 22:56-62; Yh 18:15-18,25-27)
66 Wakati Petro alipokuwa bado barazani, mtumishi wa kike wa kuhani mkuu alifika pale. 67 Alipomwona Petro akijipasha moto, alimkazia macho na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu, Mnazareti.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International