Font Size
Marko 14:68-70
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:68-70
Neno: Bibilia Takatifu
68 Lakini Petro akakataa, akasema, “Sijui wala sielewi unalosema,” akaondoka akaenda mlangoni. 69 Yule mtumi shi wa kike akamwona, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama pale, “Huyu mtu ni mmoja wao.” 70 Lakini Petro akakana tena. Baada ya muda kidogo wale waliokuwa wamesimama hapo pamoja naye wakamwambia, “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana wewe pia ni Mgalilaya!”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica