Font Size
Marko 14:71-72
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:71-72
Neno: Bibilia Takatifu
71 Petro akaanza kulaani na kuapa, akawaambia, “Simjui huyo mtu mnayemsema.”
72 Hapo hapo jogoo akawika mara ya pili. Petro akakumbuka lile neno ambalo Yesu alikuwa amemwambia, “Kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu.” Akalia kwa uchungu. Pilato Anamhoji Yesu
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica