Font Size
Marko 15:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 15:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Alikuwa ana fahamu kwamba wakuu wa makuhani walikuwa wanamwonea Yesu wivu ndio sababu wakamshtaki kwake. 11 Lakini makuhani wakuu wakawa chochea watu wamwombe awafungulie Baraba.
12 Pilato akawauliza tena watu, “Nimfanye nini huyu mtu mnayemwita mfalme wa Wayahudi?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica