Font Size
Marko 15:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 15:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
9 Yeye akawauliza, “Je, mnataka nimwache huru mfalme wa Wayahudi?” 10 Pilato alilisema hili kwa sababu alijua kuwa viongozi wa makuhani walimleta kwake kwa ajili ya wivu tu. 11 Lakini wale viongozi wa makuhani walimchochea amwache Baraba badala ya Yesu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International