Font Size
Marko 3:30-32
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 3:30-32
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
30 Yesu alisema haya kwa sababu walimu wa sheria walikuwa wanasema, “Yeye ana pepo mchafu ndani yake.”
Wafuasi wa Yesu ni Familia Yake Halisi
(Mt 12:46-50; Lk 8:19-21)
31 Kisha mama yake Yesu na nduguze wakaja. Wao walisimama nje na wakamtuma mtu aende kumwita ndani. 32 Humo lilikuwepo kundi lililoketi kumzunguka, lakini wao wakamwambia, “Tazama! Mama yako, kaka zako na dada zako wako[a] nje wanakusubiri.”
Read full chapterFootnotes
- 3:32 na dada zako wako Nakala zingine za Kiyunani hazina maneno haya.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International