Mfano Wa Mbegu

Wakati mwingine tena Yesu alianza kufundisha kando ya ziwa. Watu wengi walikusanyika wakasongamana mpaka ukingoni mwa ziwa. Ikambidi Yesu aingie kwenye mashua, akaketi humo. Akawafundisha mambo mengi kwa kutumia mifano na katika mafundisho yake akasema:

“Sikilizeni! Mkulima mmoja alikwenda kupanda mbegu zake.

Read full chapter