Add parallel Print Page Options

12 Ili kwamba,

‘japo watatazama
    sana hawataona,
na kwamba japo watasikia
    sana hawataelewa;
vinginevyo,
    wangegeuka na kusamehewa!’”(A)

Yesu Afafanua Simulizi Kuhusu Mbegu

(Mt 13:18-23; Lk 8:11-15)

13 Akawaambia, “Hamuelewi mfano huu? Sasa je mtaelewaje mfano wowote nitakaowapa? 14 Mkulima ni badala ya yule anayepanda lile neno la Mungu.

Read full chapter