Font Size
Marko 4:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 4:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Hali kadhalika, mbegu iliyoanguka kwenye mwamba ni sawa na watu ambao hulisikia neno na kulipokea kwa furaha. 17 Lakini kwa kuwa neno halipenyi ndani, linadumu kwa muda mfupi. Taabu au mateso yanapotokea kwa ajili ya hilo neno, wao hupoteza imani yao. 18 Na wengine, ni kama mbegu zile zilizoanguka kwenye miiba. Wao hulisikia neno,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica