Akawafundisha mambo mengi kwa kutumia mifano na katika mafundisho yake akasema:

“Sikilizeni! Mkulima mmoja alikwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akipanda, baadhi ya mbegu zilianguka njiani; ndege wakaja wakazila.

Read full chapter