Font Size
Marko 4:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 4:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
20 “Bali wengine ni kama ile mbegu iliyopandwa kwenye udongo mzuri. Wao hulisikia neno wakalipokea na kuzaa matunda: wengine thelathini, wengine sitini, na wengine mia moja.”
Mfano Wa Taa
21 Akawaambia tena, “Je, mtu anapowasha taa, huifunika kwa bakuli au kuiweka mvunguni? Si anaiweka mahali pa wazi? 22 Hali kadhalika, kila kilichofichwa kitatolewa hadharani; na kila siri itafichuliwa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica