Add parallel Print Page Options

23 Yeyote mwenye masikio mazuri ni bora asikie.” 24 Kisha akawaambia, “Zingatieni kwa makini kile mnachokisikia. Kwani jinsi mnavyosikiliza kwa makini, ndivyo mtakavyoelewa na kuzidi kuelewa. 25 Kwa kuwa kila aliye na uelewa kidogo ataongezewa zaidi. Lakini wale wasiosikiliza kwa makini watapoteza hata ule uelewa mdogo walio nao.”[a]

Read full chapter

Footnotes

  1. 4:25 Kwa kuwa … nao “Mtu anapoleta taa chumbani, haiweki chini ya kikapu au chini uvunguni mwa kitanda! Badala yake, anaiweka mahali pa juu chumbani. 24 Mzingatie kwa makini kile mnachokisikia. Jinsi mnavyosikiliza kwa makini, ndivyo mtakavyoelewa. Na Mungu atawawezesha muelewe zaidi. 25 Watu walio na uelewa kidogo watapokea zaidi, lakini wale ambao hawakusikiliza vizuri, hata ule uelewa mdogo waliyonao nao utaondolewa kwao. Watasahau kidogo walichoelewa.”