Font Size
Marko 4:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 4:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 Udongo wenyewe huwezesha mimea hiyo kuchipua, kukua na kukomaa. 29 Mavuno yanapokuwa tayari, bila kupoteza wakati, yule mkulima huleta mtu akaikata hiyo mimea kwa kuwa wakati wa kuvuna umefika.”
Mfano Wa Mbegu Ya Haradali
30 Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuuelezea?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica