Alipokuwa akipanda, baadhi ya mbegu zilianguka njiani; ndege wakaja wakazila. Nyingine zilianguka kwenye mwamba ambapo kuli kuwa na udongo haba; zikaota haraka. Kwa kuwa udongo haukuwa na kina, jua kali lilipowaka zilinyauka na kukauka kwa kuwa hazi kuwa na mizizi.

Read full chapter