Font Size
Marko 4:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 4:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
7 Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, miiba hiyo ikakua ikazisonga kwahiyo hazikuzaa matunda.
8 Na mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri, zikaota vizuri na kukua; zikazaa matunda; moja thelathini, nyingine sitini na nyingine mia moja.” 9 Kisha Yesu akasema, “Mwenye nia ya kusikia na asikie.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica