Font Size
Marko 8:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 8:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 aliin gia kwenye mashua pamoja na wanafunzi wake akaenda sehemu za Dal manutha.
11 Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. 12 Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Nawaambieni kweli, hakitapewa ishara yo yote.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica