Font Size
Marko 8:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 8:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Nawaambieni kweli, hakitapewa ishara yo yote.” 13 Kisha aka waacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ng’ambo ya pili.
Chachu Ya Mafarisayo Na Ya Herode
14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuleta mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica