Font Size
Marko 8:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 8:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
15 Yesu akawaonya: “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na ya Herode.”
16 Wakaanza kujadiliana wao kwa wao wakasema,“Anasema hivi kwa kuwa hatukuleta mikate.”
17 Yesu alifahamu majadiliano yao, akawauliza: “Mbona mna zungumzia kuhusu kutokuwa na mikate? Bado hamtambui wala kuelewa? Je, mbona mioyo yenu ni migumu kiasi hicho?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica