Font Size
Marko 8:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 8:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Wakaanza kujadiliana wao kwa wao wakasema,“Anasema hivi kwa kuwa hatukuleta mikate.”
17 Yesu alifahamu majadiliano yao, akawauliza: “Mbona mna zungumzia kuhusu kutokuwa na mikate? Bado hamtambui wala kuelewa? Je, mbona mioyo yenu ni migumu kiasi hicho? 18 Mbona mna macho lakini mnashindwa kuona, na masikio lakini mnashindwa kusikia? Je hamkumbuki?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica