Font Size
Marko 8:20-22
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 8:20-22
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
20 “Nilipomega na kugawa mikate saba kwa watu 4,000, mlikusanya vikapu vingapi vilivyojaa masalia ya mikate?”
Wakasema “Saba”.
21 Kisha akawaambia, “Bado hamwelewi?”
Yesu Amponya Kipofu katika Kijiji cha Bethsaida
22 Walipofika katika kijiji cha Bethsaida, baadhi ya watu walimleta asiyeona kwa Yesu, na kumsihi Yesu amguse.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International