Font Size
Marko 8:30-32
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 8:30-32
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
30 Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote kuhusu yeye.
Yesu Asema ni Lazima Afe
(Mt 16:21-28; Lk 9:22-27)
31 Ndipo alianza kuwafundisha akisema: “Mwana wa Adamu lazima apate mateso mengi, na kukatataliwa na wazee, wakuu wa makuhani na walimu wa Sheria, na ni lazima atauawa na Kufufufuka baada ya siku ya tatu.” 32 Yesu aliwaambia haya kwa uwazi bila kuwaficha.
Baada ya mafundisho haya Petro alimchukua Yesu pembeni na kuanza kumkemea.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International