Font Size
Marko 8:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 8:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
35 Kwa maana mtu ye yote aipotezaye nafsi yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya kuitangaza Habari Njema, ataiokoa. 36 Mtu atafaidi nini kama atapata ulimwengu wote lakini akayaangamiza maisha yake? 37 Au mtu atatoa nini apate tena maisha yake?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica