Font Size
Marko 9:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 9:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
21 Yesu akamwuliza baba yake, “Mwanao amekuwa na hali hii tangu lini?” Akamjibu, “Tangu utoto wake. 22 Na mara nyingi huyo pepo amemwangusha kwenye moto au kwenye maji ili kuangamiza maisha yake. Lakini kama wewe unaweza kufanya cho chote, tafadhali tuonee huruma, utusaidie.” 23 Yesu akasema, “Kama unaweza! Kila kitu kinawezekana kwa mtu mwenye imani.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica