31 kwa maana alikuwa anawa fundisha wanafunzi wake. Alikuwa akiwaambia, “Mimi Mwana wa Adamu nitasalitiwa mikononi mwa watu ambao wataniua, lakini siku ya tatu baada ya kuuawa, nitafufuka.” 32 Lakini wao hawakuelewa alichokuwa akisema na waliogopa kumwuliza.

Mabishano Kuhusu Aliye Mkuu

33 Basi wakafika Kapernaumu na baada ya kuingia nyumbani akawauliza, “Mlikuwa mnabishana nini njiani?”

Read full chapter