32 Lakini wao hawakuelewa alichokuwa akisema na waliogopa kumwuliza.

Mabishano Kuhusu Aliye Mkuu

33 Basi wakafika Kapernaumu na baada ya kuingia nyumbani akawauliza, “Mlikuwa mnabishana nini njiani?” 34 Lakini hawa kumjibu, kwa sababu njiani walikuwa wakibishana kuhusu nani kati yao alikuwa mkuu zaidi.

Read full chapter