Font Size
Marko 9:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 9:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
34 Lakini hawa kumjibu, kwa sababu njiani walikuwa wakibishana kuhusu nani kati yao alikuwa mkuu zaidi.
35 Akaketi chini, akawaita wote kumi na wawili akawaambia: “Mtu anayetaka kuwa kiongozi hana budi kuwa wa chini kuliko wote na kuwa mtumishi wa wote.” 36 Kisha akamchukua mtoto mdogo akamweka mbele yao, akamkumbatia akawaambia,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica