Font Size
Marko 9:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 9:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
Kutumia Jina La Yesu
38 Yohana akamwambia, “Mwalimu, tumemwona mtu akitoa pepo kwa jina lako tukamzuia kwa sababu yeye si mmoja wetu.” 39 Yesu akasema, “Msimzuie, ye yote atendaye miujiza kwa jina langu kwani hawezi kunigeuka mara moja na kunisema vibaya. 40 Kwa maana ye yote ambaye si adui yetu yuko upande wetu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica