Add parallel Print Page Options

40 Yeye ambaye hapingani na sisi basi yuko pamoja na sisi. 41 Yeyote anayewapa ninyi kikombe cha maji kwa sababu ninyi ni wake Kristo.[a] Hakika ninawaambia ukweli kwamba, hatapoteza thawabu yake.

Yesu Aonya Kuhusu Chanzo cha Dhambi

(Mt 18:6-9; Lk 17:1-2)

42 Yeyote anayemsababisha mmoja wa hawa walio wadogo ambao wananiamini mimi kujikwaa na kuanguka, itakuwa bora kwake ikiwa atatupwa baharini huku amefungwa jiwe la kusagia shingoni mwake.

Read full chapter

Footnotes

  1. 9:41 Kristo Mpakwa mafuta au masihi, aliyechaguliwa na Mungu.