44 Huko funza hawafi wala moto hauzimiki.] 45 Na kama mguu wako ukikusababisha utende dhambi, ukate. Ni afadhali kuingia katika uzima ukiwa kiwete kuliko kuwa na miguu miwili ukaingia katika moto usiozimika. [ 46 Huko funza hawafi wala moto hauzimiki.]

Read full chapter