45 Na kama mguu wako ukikusababisha utende dhambi, ukate. Ni afadhali kuingia katika uzima ukiwa kiwete kuliko kuwa na miguu miwili ukaingia katika moto usiozimika. [ 46 Huko funza hawafi wala moto hauzimiki.] 47 Na kama jicho lako litakusababisha utende dhambi, ling’oe. Ni afadhali kuwa chongo ukaingia katika Ufalme wa Mungu kuliko kuwa na macho mawili ukatupwa Jehena.

Read full chapter