47 Na kama jicho lako litakusababisha utende dhambi, ling’oe. Ni afadhali kuwa chongo ukaingia katika Ufalme wa Mungu kuliko kuwa na macho mawili ukatupwa Jehena. 48 Huko funza hawafi wala moto hauzimiki. 49 Wote watatiwa chumvi kwa moto.

Read full chapter