48 Huko funza hawafi wala moto hauzimiki. 49 Wote watatiwa chumvi kwa moto. 50 “Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake utafanya nini ili iweze kukolea tena? Muwe na chumvi ndani yenu. Muishi pamoja kwa amani.”

Read full chapter