Font Size
Matayo 1:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 1:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Ukoo Wa Yesu Kristo
1 Kumbukumbu ya vizazi vya ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi na wa Abrahamu: 2 Abrahamu alikuwa baba yake Isaka; Isaka alikuwa baba yake Yakobo; na Yakobo alikuwa baba yake Yuda na ndugu zake. 3 Yuda alikuwa baba yake Peresi na Zera ambao mama yao alikuwa Tamari; Peresi alikuwa baba yake Esroni; Esroni alikuwa baba yake Aramu;
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica