Font Size
Matayo 1:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 1:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Hezekia alikuwa baba yake Manase; Manase alikuwa baba yake Amoni; Amoni alikuwa baba yake Yosia; 11 wakati wa uhamisho wa Babiloni, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake; 12 na baada ya uhamisho wa Babiloni Yekonia alimzaa Shealtieli; Shealtieli alikuwa baba yake Zerubabeli;
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica