Font Size
Matayo 1:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 1:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
20 Lakini alipokuwa bado anawaza juu ya jambo hili, malaika wa Bwana akamtokea katika ndoto akasema, “Yosefu mwana wa Daudi, usisite kumwoa Maria mchumba wako kwa maana mimba aliyo nayo ameipata kwa uweza wa Roho Mtakatifu. 21 Naye atamzaa mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yesu; kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao.”
22 Hayo yote yalitokea ili kutimiza maneno ya Mungu yaliyos emwa na nabii wake:
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica