Font Size
Matayo 1:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 1:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Asa alikuwa baba yake Yehoshafati; Yehoshafati alikuwa baba yake Yoramu; Yoramu alikuwa baba yake Uzia; 9 Uzia alikuwa baba yake Yothamu; Yothamu alikuwa baba yake Ahazi; Ahazi alikuwa baba yake Hezekia; 10 Hezekia alikuwa baba yake Manase; Manase alikuwa baba yake Amoni; Amoni alikuwa baba yake Yosia;
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica