Font Size
Matayo 10:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 10:10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Msichukue mikoba ya safari, wala koti la pili, wala viatu, wala fimbo: kwa maana mfanyakazi anastahili riziki yake.
11 “Mkiingia katika mji au kijiji cho chote, mtafuteni mtu mwaminifu mkae kwake mpaka mtakapoondoka. 12 Kila nyumba mtakay oingia, toeni salamu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica