Font Size
Matayo 10:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 10:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Jihadharini na watu, kwa maana watawapeleka katika mabaraza yao na kuwapiga viboko kwenye masinagogi yao. 18 Mtapelekwa mbele ya magavana na wafalme kwa ajili yangu mkatoe ushuhuda mbele yao na mbele ya watu wa mataifa. 19 Lakini mtakapokamatwa, msihangaike mkifiki ria mtakalosema; kwa maana mtaambiwa la kusema wakati huo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica