Font Size
Matayo 12:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Yesu akawajibu, “Ni nani kati yenu ambaye kondoo wake aki tumbukia shimoni siku ya sabato hatamtoa? 12 Mtu ana thamani kubwa sana kuliko kondoo. Kwa hiyo ni halali kutenda mema siku ya sabato.”
13 Ndipo akamwambia yule mtu, “Nyoosha mkono wako.” Akau nyoosha, nao ukapona ukawa mzima kama ule mwingine.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica