Font Size
Matayo 12:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
29 Au inawezekanaje mtu kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang’anya mali yake yote pasipo kwanza kumfunga yule mwenye nguvu? Akisha mfunga ndipo hakika anaweza kupora mali yake.
30 “Mtu asiyekuwa pamoja nami ananipinga; na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, anatawanya. 31 Kwa hiyo nawaambieni, watu watasamehewa kila aina ya dhambi na kufuru lakini mtu ata kayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica