Font Size
Matayo 12:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
32 “Na mtu atakayesema neno kumpinga Mwana wa Adamu ata samehewa, lakini ye yote atakayempinga Roho Mtakatifu hatasame hewa, katika ulimwengu huu wala katika ulimwengu ujao.”
Maneno Huonyesha Hali Ya Moyo
33 “Ili upate matunda mazuri lazima uwe na mti mzuri; ukiwa na mti mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. Kwa maana mti hutambulikana kwa matunda yake. 34 Ninyi uzao wa nyoka! Mnawe zaje kunena mema wakati ninyi ni waovu? Kwa maana mtu husema yaliyojaa moyoni mwake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica