Font Size
Matayo 12:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:34-36
Neno: Bibilia Takatifu
34 Ninyi uzao wa nyoka! Mnawe zaje kunena mema wakati ninyi ni waovu? Kwa maana mtu husema yaliyojaa moyoni mwake. 35 Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutokana na hazina ya wema uliohifadhiwa ndani yake; na mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutokana na hazina ya uovu uliohifadhiwa ndani yake.
36 “Nawaambia hakika, siku ya hukumu watu watatakiwa kujieleza kuhusu kila neno lisilo la maana walilolisema.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica