Font Size
Matayo 12:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
35 Mtu mwema hutoa yaliyo mema kutokana na hazina ya wema uliohifadhiwa ndani yake; na mtu mwovu hutoa yaliyo maovu kutokana na hazina ya uovu uliohifadhiwa ndani yake.
36 “Nawaambia hakika, siku ya hukumu watu watatakiwa kujieleza kuhusu kila neno lisilo la maana walilolisema. 37 Kwa maana kutokana na maneno yako utahesabiwa haki, na kutokana na maneno yako utahukumiwa.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica