Font Size
Matayo 12:37-39
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 12:37-39
Neno: Bibilia Takatifu
37 Kwa maana kutokana na maneno yako utahesabiwa haki, na kutokana na maneno yako utahukumiwa.”
Ishara Ya Yona
38 Kisha baadhi ya waandishi wa sheria na Mafarisayo wakam wambia, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.” 39 Lakini yeye akawajibu, “Kizazi cha watu waovu na wasiowaami nifu hutafuta ishara; lakini hawatapewa ishara yo yote isipokuwa ile ya nabii Yona.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica