45 Kisha huenda na kuwaleta pepo wengine saba, wabaya zaidi kuliko yeye, nao huingia na kuishi huko. Na hali ya mwisho ya mtu huyo inakuwa mbaya zaidi kuliko mwanzo.”

Ndugu Wa Yesu

46 Wakati alipokuwa akizungumza na watu, mama yake na ndugu zake walisimama nje wakataka kuongea naye. [ 47 Mtu mmoja akam wambia, “Mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kuon gea na wewe.”]

Read full chapter