Font Size
Matayo 18:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 18:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Na akisha mpata, nawaambia kweli, anafurahi zaidi kwa ajili ya huyo kondoo mmoja kuliko kwa wale tisini na tisa ambao hawakupotea. 14 Hali kadhalika, Baba yenu wa mbin guni hapendi hata mmojawapo wa hawa wadogo apotee.”
Ndugu Yako Akikukosea
15 “Kama ndugu yako akikukosea, nenda ukamwambie kosa lake mkiwa ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica