Font Size
Matayo 18:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 18:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
19 “Tena ninawaambia, ikiwa wawili kati yenu mtakubaliana hapa duniani kuhusu jambo lo lote mnaloomba, Baba yangu wa mbin guni atawatimizia. 20 Kwa maana wanapokutana watu wawili au watatu katika jina langu, hapo mimi nipo pamoja nao.”
Hakuna Mwisho Wa Kusamehe
21 Kisha Petro akaja kwa Yesu akamwuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami niendelee kumsamehe? Hata mara saba?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica