Font Size
Matayo 18:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 18:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Yesu akamjibu, “Sikuambii mara saba, bali saba mara sabini.”
Mfano Wa Mdaiwa Asiyesamehe
23 “Kwa hiyo Ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme aliyetaka kukamilisha hesabu zake za fedha na watumishi wake. 24 Alipoanza kukagua hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa na deni la mamilioni ya shilingi, aliletwa kwake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica