Font Size
Matayo 19:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
Matayo 19:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 Umati mkubwa wa watu walimfuata, naye akawaponya huko.
3 Baadhi ya Mafarisayo wakamjia wakamtega kwa kumwuliza, “Ni halali mtu kumwacha mke wake kwa sababu yo yote ile?”
4 Akawajibu, “Hamjasoma kwamba aliyewaumba tangu mwanzo ali waumba mume na mke
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica